Chama cha Democtratic Alliance nchini Afrika Kusini kumeanzisha kampeni ya kumuondoa rais Jacob Zuma madarakani baada ya mahakama ya ...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/03/chama-cha-democtratic-alliance-nchini.html
Chama cha Democtratic Alliance
nchini Afrika Kusini kumeanzisha kampeni ya kumuondoa rais Jacob Zuma
madarakani baada ya mahakama ya kikatiba kutoa uamuzi kuwa alikiuka
katiba.
Mahakama ilipata kuwa bwana Zuma alikataa kutii agizo
kutoka kwa ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu mwaka 2014 la kamtaka alipe
pesa zilizotumika kuifanyia ukarabati nyumba yake ya kibinafsi.