Drake asema Kanye West ni role model wake,kuna kazi kubwa wanafanya pamoja.

Wamiliki wa lebel kubwa za OVO na G.O.O.D. Music Drake na Kanye wanaelekea kufanya colabo au mixtape kubwa hivi karibuni. Kwenye interv...

Wamiliki wa lebel kubwa za OVO na G.O.O.D. Music Drake na Kanye wanaelekea kufanya colabo au mixtape kubwa hivi karibuni.
Kwenye interview na Zane Lowe Drake amesema alimwangalia Kanye West kama role model wake toka akiwa msanii mchanga na Kanye West anamchango kubwa sana kwa yeye kuwa hapa leo.
Drake amesema wawili hawa walikuwa na mpango wa kutoa mixtape ila ratiba zilingiliana na sasa wana mpango wa kufanya kazi nyingine kubwa.

Related

BURUDANI 8943751380295603775

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item