leo ni leo Man City kuivaa Real Madrid-UEFA.

Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya hatua ya Nusu fainali inaendelea tena leo ambapo Manchester City watamenyana na Real Madrid. M...

Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya hatua ya Nusu fainali inaendelea tena leo ambapo Manchester City watamenyana na Real Madrid.

Manchester City wataikaribisha Real Madrid katika Mechi hiyo huku wakiwa na pigo kubwa la kumkosa Kiungo wao kutoka Ivory Coast, Yaya Toure.

Katika mchezo mwingine Atletico Madrid na Bayern Munchen watakukutana kesho jumatano Jijini Madrid katika Mechi ya Kwanza ya Nusu ya klabu bingwa barani ulaya uwanja wa Estadio Vicente Calderon
Atletico chini ya Kocha Diego Simeone wanatinga hatua ya Nusu Fainali kwa mara ya pili ndani ya Miaka Mitatu wakati Bayern, ambao sasa wapo chini ya Kocha Pep Guardiola, hii itakuwa ni Nusu Fainali yao ya tano mfululizo, Fainali ya Michuano ya hii itapigwa jumamosi tarehe 28 .

Related

MICHEZO 4290578857902482143

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item