Mitsubishi yakiri makosa kuhusu magari yake

Kampuni ya kuunda magari ya Japan ya Mitsubishi, imekiri kufanya makosa katika kueleza takwimu za matumizi ya mafuta kwa zaidi ya magar...

Kampuni ya kuunda magari ya Japan ya Mitsubishi, imekiri kufanya makosa katika kueleza takwimu za matumizi ya mafuta kwa zaidi ya magari 600,000.
Mauzo ya hisa za kampuni hiyo yalifunga yakiwa yameshuka kwa asilimia 15 kutokana na ripoti kuwa ilikuwa imedanganya.
Wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Mitsubishi ilisema kuwa majaribio ya matumizi ya mafuta kwa magari hayo yalikuwa yamefanywa kwa njia ambayo haikuwa sahihi.
Ilisema kuwa magari yaliyopatwa na kosoro hiyo yalikuwa yametengenezwa kwa kampuni ya Nissan.
Hayo yanajiri wiki sita baada ya kampuni ya magari ya Ujerumani ya Volkswagen, kukiri kudangaya katika mitambo ya gesi chafu ya magari yanayotumia mafuta ya diesel.

Related

HABARI 5997997655145719541

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item