Papa Francis atembelea wahamiaji Lesbos

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewasili kisiwa cha Lesbos kuonyesha kuwaunga mkono wakimbizi wanaojaribu kufika bar...

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewasili kisiwa cha Lesbos kuonyesha kuwaunga mkono wakimbizi wanaojaribu kufika barani Ulaya.

Papa Francis ameandamana na kiongozi wa kanisa la Orthodox Bartholomeo Constantinople.
Wawili hao watatembelea kambi iliyo kisiwani humo, ambapo wahamiaji zaidi ya 3,000 wanazuiliwa, wakisubiri kusafirishwa kwenda Uturuki chini ya makubaliano ya muungano wa ulaya.
Papa amesema safari yake Ugiriki ni ya kwenda kushuhudia mgogoro mbaya zaidi wa kibinadamu tangu kumalizika kwa vita Vikuu vya Pili vya Dunia.

Makubaliano hayo yamekosolewa na mashirika ya kutoa misaada na makundi ya kutetea haki za binadamu.

Vatican imesema ziara hiyo ya Papa ni ya kibinadamu na kidini na haifai kutazamwa kwa vyovyote vile kama ukosoaji wake wa mpango wa kuwatoa wahamiaji Ugiriki na kuwapeleka Uturuki.

Related

MATUKIO 5409506996448633180

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item