Puff Daddy atangaza kustaafu muziki na hii ndio kazi nyingine atakayofanya.

Rapa,Producer, mwigizaji na mfanya biashara maarufu Puff Daddy ametangaza rasmi k...

Rapa,Producer, mwigizaji na mfanya biashara maarufu Puff Daddy ametangaza rasmi kuwa album ya No Way Out 2 na kwamba baada ya hapa atastaafu muziki.
Pdd ni CEO wa Bad Boys Entertainment na ameweka wazi kuwa baada ya kustaafu muziki kazi yake kubwa itakuwa kuigiza na kutayarisha filamu tu.
Puff Daddy aliyetumikia muziki kwa miaka 20 amesema pia baada ya kuachana na muziki atatumia muda wake mwingi na watoto wake sita

Related

BURUDANI 9180219123832316162

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item