Safari ya ndege yakatizwa kutoa salamu za mwisho

Safari ya ndege iliyokuwa ikitokea uwanja wa ndege wa Manchester ilikatizwa ilikuruhusu babu mmoja na mkewe kutoa salamu za mwisho ...


Safari ya ndege iliyokuwa ikitokea uwanja wa ndege wa Manchester ilikatizwa ilikuruhusu babu mmoja na mkewe kutoa salamu za mwisho kwa mjukuu wao aliyekuwa akipumua hewa yake ya mwisho hospitalini huko Uingereza
 .
Babu na mkewe walikuwa safarini kuelekea Australia kwa likizo walipopokea ujumbe mfupi wa simu kutoka kwa jamaa yao akisema kuwa mjukuu wao alikuwa na saa chache tu za kuishi.
Habari hizo za kushtua sana ziliponza bibi huyo ambaye alimueleza mhudumu wa ndege hiyo.
Kwa sababu ya huzuni na kububujikwa kwa huruma kutoka kwa abiria wenzake, mhudumu mmoja alikwenda na kumpasha habari hizo rubani wa ndege hiyo ya et
Kwa mshangao rubani huyo alipunguza kasi ya ndege hiyo na kuomba ruhusa kurejea katika eneo la kuegesha ndege ilikuwapa fursa kushuka na kuelekea hospitalini kumuaga mjukuu wao.

Japo shughuli hiyo ya kuwashusha na kupakua mizigo yao ilisababisha ndege hiyo na abiria wengine kuchelewa, juhudi hiyo ya kipekee ya rubani huyo wa Etihad ilimsababishia kusifiwa na abiria na wapanga safari katika uwanja huo wa ndege.


Related

MATUKIO 9196090380164694623

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item