Ajitangaza twitter baada ya kukosa kazi
Anthea Malwandla anasema ametafuta kazi kwa mwaka mmoja bila ya mafanikio Ujumbe uliowekwa kwenye mtandao wa twitter ...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/ajitangaza-twitter-baada-ya-kukosa-kazi.html
![]() |
Anthea Malwandla anasema ametafuta kazi kwa mwaka mmoja bila ya mafanikio |
Ujumbe uliowekwa kwenye mtandao wa
twitter nchini Afrika Kusini unaonekana kupata umaarufu wakati nchi hiyo
inapokumbwa na viwango vikubwa vya ukosefu wa ajira.
Anasema kuwa alifuzu kutoka chuo cha teknolojia cha Vaal na amekuwa akitafuta kazi kwa mwaka mmoja sasa.
Wiki iliyopita takwimu zilionyesha kuwa viwango vya ukosefu wa ajira ni asilimia 26.7, ikiwa ni asimia 12 zaidi mwaka huu.