Almasi ndogo yauzwa dola milioni 31

Aina moja ya almasi ya rangi ya waridi imeuzwa pesa nyingi zaidi katika historia, ambazo ni dola milioni 31.5 kwenye mnada mjini Geneva...

Aina moja ya almasi ya rangi ya waridi imeuzwa pesa nyingi zaidi katika historia, ambazo ni dola milioni 31.5 kwenye mnada mjini Geneva.
Almasi hiyo yenye carat 15.38 ilipatikana nchini Afrika Kusini chini ya miaka mitano iliyopita, kwa mujibu wa shirika la habari la AFP.
Ilipachikwa kwenye pete na kuuzwa kwa mfanyi biashara mmoja kutoka Asia, ambaye aliinunua kwa kuwasiliana kwa njia ya simu.
Hiyo ndiyo bei ya juu zaidi kuwai kulipwa kwa almasi ya rangi ya waridi.

Related

MAAJABU 3198119304104626549

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item