Ama kweli pamekucha katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha.
MOJA YA MWANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI AJTC AKIWASILISHA KIPINDI HII leo mashindano ya utangazaji katika chuo cha ...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/ama-kweli-pamekucha-katika-chuo-cha.html
MOJA YA MWANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI AJTC AKIWASILISHA KIPINDI
HII leo mashindano ya utangazaji katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha yameendelea tena kwa wanafunzi kuwasilisha vipindi mbalimbali kwa ustadi wa hali ya juu,ambavyo vipindi ivyo ni pamoja na taarifa ya habari,michezo,burudani pamoja na kipindi maalumu.Mashindano ayo yatafikia tamati siku yaijumaa ya taree ya 27 ya mwezi wa tano mwaka 2016.