Arsenal yakamilisha usajili wa Granit Xhaka
Klabu ya Arsenal imefanya usajili wa kiungo mpya wa Granit Xhaka kwa usajili wa Pauni Milioni 35 kutoka Borussia Monchengladbach ya Ujeruma...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/arsenal-yakamilisha-usajili-wa-granit.html
Klabu ya Arsenal imefanya usajili wa kiungo mpya wa Granit Xhaka kwa
usajili wa Pauni Milioni 35 kutoka Borussia Monchengladbach ya Ujerumani
atakuwa akichukua mshahara wa pauni 110,000 kwa wiki amesain mkataba wa
miaka mitano.





