Baada ya skendo kubwa ya usaliti, Pepsi wametoa kauli juu ya Tiwa Savage kuwa balozi wao.
Kampuni ya kinywaji cha Pepsi wamethibitisha kuwa baada ya skendo kubwa ya usaliti...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/baada-ya-skendo-kubwa-ya-usaliti-pepsi.html

Nigeria imemuangukia Tiwa Savage kwa tuhuma za usaliti zilizosambazwa mitandaoni na kurasa ya instagram ya mume wake ambaye baadae alisema kurasa hio ilivamiwa.
Siku mbili zilizopita Tiwa Savage alikanusha kumsaliti mume wake na kusema Mume wake TeeBillz alikuwa anahusishwa na uuzaji wa dawa za kulevya na pia anajua amemsaliti na sio mara moja.