Buhari asema hataki msamaha wa Cameron
Buhari ameapa kupambana na 'jinamizi' la ufisadi Nigeria Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari anasema hataki "kuombwa msama...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/buhari-asema-hataki-msamaha-wa-cameron.html
![]() |
Buhari ameapa kupambana na 'jinamizi' la ufisadi Nigeria |
Cameron alitoa tamko hilo katika mazungumzo na Malkia Elizabeth.
Ameandaa mkutano wa kimataifa wa kupambana na ufisadi Alhamisi.

Alipoulizwa iwapo Nigeria ni "taifa lenye ufisadi mkubwa", Buhari alijibu: "ndio".
Nigeria imeorodheshwa 136 kati ya nchi 167 katika faharasha ya shirika la Transparency International mwaka 2015.
Katika hotuba yake, kiongozi huyo wa Nigeria ametaja ufisadi kama jinamizi linalotishia usalama wa mataifa "na halina tofuati katika matifa yalioendelea na yanayoendelea".
Amesema rushwa Nigeria ni janga na serikali yake inawajibika kupambana nalo