D’banj kachoka kuulizwa ataowa lini,Hili ndio jibu lake la mwisho…
Msanii Kutoka Nigeria D’banj ameongelea kwa mara ya mwisho tetesi za kufunga ndoa ...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/dbanj-kachoka-kuulizwa-ataowa-linihili.html

D’Banj alijibu “Harusi yangu itakuwa siri na kimya kimya sana sababu nimechoka kuulizwa swali hili nwaka huu”.
D’banj pia amefunguka kuhusu show atakayokuwa anafanya na kituo cha MTV ya Lip Sync Battle Africa,na kusema ni show tofauti na show aliyowahi kufanya Ll Cool J ila kauli hii isichukuliwe kama namponda LL Cool J.