DJ Khaled na mchumba wake wanategemea mtoto wao wa kwanza.
DJ Khaled ambaye kwa sasa anafanya show kubwa kwenye ziara ya Beyonce ya “The Formation World Tour” ametangaza habari m...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/dj-khaled-na-mchumba-wake-wanategemea.html

Dj Khaled atakuwa baba kwa mara ya kwanza baad aya kutangaza mchumba wake Nicole Turk ana ujauzito wa miezi mitatu.
Mwaka huu umekuwa mzuri kwa Khaled ambaye kwa sasa ana dili kubwa na lebel ya Epic,na lebel ya Roc Nation ya Jay Z
Mwaka huu umekuwa mzuri kwa Khaled ambaye kwa sasa ana dili kubwa na lebel ya Epic,na lebel ya Roc Nation ya Jay Z