Donald Trump asema Mike Tyson sio mmbakaji.

Mgombea urais nchini Marekani Donald Trump amesema atabaki na msimamo wake wa kumt...

Mgombea urais nchini Marekani Donald Trump amesema atabaki na msimamo wake wa kumtetea Mike Tyson kuwa hajawahi kumbaka mtu na kwamba sio mmbakaji.
Wampinzani wa Donald Trump wametumia kesi ya ubakaji ya mwaka 1992 ya bongia Mike Tyson ambapo Donald Trump alimtetea mpiganaji huyo.
Donald amejibu kwa kusema “Sababu Mike Tyson amenikubali na kuliweka wazi jambo hilo mitandaoni, basi ishakuwa issue, Sijaonana na Mike kwa miaka mingi sasa ila yeye kafanya hivyo kuonyesha anakubali nachosema

Related

BURUDANI 8729026040971048964

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item