Drake amkalisha vibaya Justin Bieber kwenye mtandao wa Spotify.

Rapa Drake ambaye album yake mpya ya  VIEWS  iligonga platinum ndani ya wiki moja na kuanza kuuzwa kwenye mitandao tofauti imeweka reko...

Rapa Drake ambaye album yake mpya ya VIEWS iligonga platinum ndani ya wiki moja na kuanza kuuzwa kwenye mitandao tofauti imeweka rekodi mpya.
Kwa sasa Drake ametajwa kuwa msanii aliyesikilizwa mara nyingi zaidi kwenye mtandao wa Spotify na kumkalisha pop staa Justin Bieber.
Drizzy amemfunika Justin Bieber kwa kusikilizwa na watu zaidi ya milioni 10 kuliko Justin.Drake ana watu 3,185,045,281 na Justin ni watu 3,175,636,461 , wasanii wengine kwenye orodha hii ni pamoja na The Weeknd ,Rihanna , Fetty Wap na Nicki Minaj.
Drake alishika nafasi hii mwaka 2015 na album yake ya If Youre Reading This Its Too Late,

Related

BURUDANI 4407605323255560646

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item