HII LEO MBICHI NA MBIVU ZIMEJULIKANA AMBAPO MATOKEO RASMI YAMETOLEWA KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA

Baadhi ya majaji wakiwa wanafanya kazi yao kwa makini. Baadhi ya majaji katika mashindano hayo .Picha na clemence kara...


Baadhi ya majaji katika mashindano hayo.Picha na clemence karani

Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha (AJTC) Wameendelea na mashindano ya utangazaji katika chuo hicho ambapo hii leo matokeo yametajwa ambapo madarasa matano yamefanikiwa kuingia fainali na hatimaye siku ya kesho ijumaa ya taree 27 kujulikana mshindi katika mashindano ayo.
 

Related

MATUKIO 8469497574449276317

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item