Jaji afuta rekodi ya Kesi ya Kanye West ya kumdunda Paparazzi.

Jaji amekubali rekodi ya kitendo na hukumu ya kitendo cha Kanye West kumpiga Papar...

Jaji amekubali rekodi ya kitendo na hukumu ya kitendo cha Kanye West kumpiga Paparazzi kifutwe kwenye rekodi ya maisha ya rapa Kanye West.
West alikubali kosa hili mwaka 2014 nakufanya kazi za kijamii kwa saa 250 na uangalizi wa polisi kwa miaka miwili.
Toka tukio hilo Kanye West amekuwa rafiki na mapaparazzi wengi tofauti na miaka ya nyuma.

Related

BURUDANI 7417917745198417543

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item