Jay Z ajibu tuhuma za kuchepuka zilizotolewa na Beyonce kwenye Lemonade

Hatimaye kile tulichokuwa tukikisubiri kimejiri. Jay Z amezungumzia tuhuma za mke wake Beyonce kwenye Lemonade. Si jambo la ...



Hatimaye kile tulichokuwa tukikisubiri kimejiri. Jay Z amezungumzia tuhuma za mke wake Beyonce kwenye Lemonade.
Beyonce-Jay-Z
Si jambo la kushangaza, majibu hayo yametolewa kwenye mfumo wa wimbo.
Kwenye remix ya wimbo wa Fat Joe na Remy Ma, “All The Way Up,” Jay anarap kuhusu album yake Bey inayoezea usaliti aliofanyiwa na mume wake.
fat-joe-remy-ma-jay-z
“You know you made it when the fact your marriage made it is worth millions,” anarap. “Lemonade is a popular drink and it still is.”
Kwa muda mrefu kumekuwepo na tetesi za Jay kuwa na uhusiano nje ya ndoa hali iliyopelekea wawili hao wakaribie kuachana.

Related

BURUDANI 5695183442441552619

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item