Kundi la wahuni linalotishia maisha ya Rick Ross mpaka anashindwa kufanya show.
Rick Ross amekuwa miongoni mwa wasanii wanaotishiwa maisha na makundi ya wahuni na...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/kundi-la-wahuni-linalotishia-maisha-ya.html

Rick Ross anapokea vitisho kutoka kwa kundi linalojiita Gangster Disciples, na kundi hili limesema lazima Rozay alipe kiasi flani cha pesa ndio aweze kufanya show kwenye miji ambayo wanamiliki kundi hili na kuwa asipofanya hivyo basi maisha yake yako hatarini.
Matukio kama risasi kufyatuliwa kwenye studio ya Rozay na kwenye show zake yamehusishwa na kundi hili.