MASHINDANO YA UTANGAZAJI YAMEANZA MAPEMA JANA KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA
Makamu Mkuu wa chuo cha AJTC, Elifuraha Samboto, akitoa hotuba kabla ya vipindi vya r...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/mashindano-ya-utangazaji-yameanza.html
|
Makamu
Mkuu wa chuo cha AJTC, Elifuraha Samboto, akitoa hotuba kabla ya vipindi vya
redio kuanza hii leo. PICHA NA CLEMENCE KARANI.
|
Mashindano
Ya Utangazaji Yameanza Rasmi Hii Leo Katika Chuo Cha Uandishi Wa
Habari Na Utangazaji Arusha Kwa Wanafunzi Kuwasilisha Vipindi Mbalimbali Kwa
Lengo La Kuongeza Ubunifu Na Uzoefu Katika Tasnia Ya Habari.
Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha
wakisikiliza vipindi vya redio katika mashindano hiliyo anza leo ndani ya
chuo hicho....
|
Mashindano
Hayo Yanahusisha Madarasa Zaidi YaKumi Na Tatu,AmbapoTayari Darasa La Seluu
Limewasalisha Vipindi Vyao Mapema Hii Leo.
Majaji katika mashindano hayo ni
Steven Mulaki, Onesmo Mbise, Andrea Ngobole,Amos Ishengoma pamoja na Jackline
Joel.
Hata
Hivyo Mashindano Hayo Yatafikia Tamati Siku Ya Ijumaa Ya Tarehe 27 ,ambapo
Mshindi Wa Kwanza, Wa Pili Na Na Tatu Watapewa Zawadi Mbalimbali Ikiwemo Kombe
Pamoja Na Fedha Taslimu laki moja na nusu Za Kitanzania.
Pia Wanafunzi Katika Chuoni hapo Wamekuwa Na Mwitikio wa aina yake huku
kiladarasa likijidhatiti kikamilifu kuibuka kidedea katika Mashindano hayo .