Nicki Minaj kamchagua yupi kati ya Meek Mill na Drake? jibu liko hapa…
Rapa Nicki Minaj amefikia wakati mgumu kwenye maisha yake kwenye kuchagua kuwasili...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/nicki-minaj-kamchagua-yupi-kati-ya-meek.html

Kwa mujibu wa Hollywood Life Nicki Minaj amemchagua Meek Mill na amekata mawasiliano kabisa na rapa Drake ambaye wapo pamoja kwenye lebel moja ya Young Money.
Wawili hawana mawasiliano toka June 2015 beef kati ya Meek na Drake lilipoanza. Pia mpaka sasa Minaj hajaonyesha kuwa anaikubali album ya Drake ya “Views From the 6.” hata kama kaisikiliza.