Noma sana:Forbes yataja hawa wasanii watano wa hiphop wenye mkwanja zaidi mwaka 2016

Sean “Diddy” Combs bado anashikilia namba moja akiwa na utajiri wa dola milioni $7...

  1. Sean “Diddy” Combs bado anashikilia namba moja akiwa na utajiri wa dola milioni $750.
Puff Daddy
2.Andre “Dr. Dre” Young anashikilia namba mbili kama mwaka jana akimiliki dola milioni $710 kutoka kwenye faida za biashara zake kama Beats By Dr. Dre.
Dr Dre
3. Shawn “Jay Z” Carter anamiliki dola milioni $610 kutokana na faida ya kampuni yake ya kusikiliza muziki na kutazama kazi za wasanii ka kulipia ya TIDAL Na mikataba na wasanii wengine kupitia Roc Nation.
Jay Z
4. Bryan “Birdman” Williams anashika namba yake ile ya nne akiwa na mkwanja dola milioni $110 million kutokana na lebel yake ya Cash Money.
Birdman
 5. Aubrey Drake Graham, Drake ameingia kwenye orodha hii akiwa namba 5 akimiliki dola milioni $60
  Drake

Related

BURUDANI 1085006032442304084

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item