O ngera:Zikiwa zimebaki wiki mbili afikishe miaka 50,Janet Jackson atangaza kuwa na ujauzito,ni mtoto wa kwanza kwake.

Pop staa Janet Jackson anategemea kupata mtoto wake wa kwanza baada ya kukatisha z...

Pop staa Janet Jackson anategemea kupata mtoto wake wa kwanza baada ya kukatisha ziara yake ya show kutokana na ujauzito.
Taarifa hizi nzuri zimekuja wiki mbili kabla staa huyu hajafikisha miaka 50 kwa sasa anamiaka 49 na atakuwa na 50 mnamo May 16 2016.
Janet ameolewa na Wissam Al Mana ’41’ mwaka 2012 kwneye harusi ya siri na hawakuthibitisha taarifa hizi mpaka mwaka 2013.
Mwaka 2008 wakati Janet alikuwa na mpenzi wake Jermaine Dupri, aliulizwa kuhusu watoto na alijibu “Napenda kuwa na watoto ila pia nataka kuasili mtoto”
Hivi karibuni atatoa video mpya ya “Dammn Baby,” kutoka kwenye album ya mwaka 2015 Unbreakable.

Related

BURUDANI 4462408564316917080

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item