Picha, Msanii Nyota Ndogo afunga ndoa na mchumba wake kutoka nchini Denmark.
Muimbaji wa muziki kutoka Kenya ambaye kwa sasa anaishi Mombasa, Mwanaisha Abdalla...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/picha-msanii-nyota-ndogo-afunga-ndoa-na.html

Post za picha za tukio hili ziliambatana na ujumbe huu “My great day love you all I thank Allah #wedding #love
#world,“I love my husband Henning Nielsen#myday #we,”
Pia mwimbaji wa kike kutoka Kenya Akothee amempongeza kwa kuandika nyota ndogo kwa kuandika “Congratulations mrembo I wish you a happy life with your family @nyota_ndogo.”
Hongera kwake na familia yake

