Picha ya Davido na producer Pharrell Williams imetrend Nigeria.
Picha ya Davido na producer kutoka Marekani Pharrell Williams imetrend kwen...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/picha-ya-davido-na-producer-pharrell.html
Picha ya Davido na producer
kutoka Marekani Pharrell Williams imetrend kwenye mitandao ya Nigeria,
Pharrell ni producer aliyefanya kazi na wasanii wengi kama Justine
Timberlake, Jay Z na Kanye West.
