Picha,Jumba walioishi Jay Z na Beyoncé lapanda bei ghafla,dola milioni 1 kwa mwezi
Jumbe walilokuwa wakiishi wasanii wakubwa ambao ni mke na mume Jay Z na Beyoncé hu...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/pichajumba-walioishi-jay-z-na-beyonce.html

Beyoncé na Jay Z walilipia dola $400,000 kwa mwezi ambapo pia walishoot video ya Drunk In Love nyuma ya nyumba hio. Nyumba ina vyumba 12 vya kulala, mabafu 12, na ni dola milioni moja kwa mwezi.

