Picha,Kanye West kalewa na kuliangusha airport akiwa kapigilia vitu vya thamani.
Wanasema kuna kitu sio sawa kinaendelea na Kanye ambacho kitafanya aonekane kana Pr...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/pichakanye-west-kalewa-na-kuliangusha.html

Kanye ametajw akuwa miongoni mwa mastaa wasiojali tena muonekano wao kwa mashabiki na dunia baad aya kuliangusha kwenye kiwanja cha ndege huku pakiw ana uvumi kuwa alikuwa amelewa.
Kanye akiwa kwenye kiwanja cha ndege cha LAX alipitiwa na usingizi huku amevalia vitu vya thamani kama cheni yenye thamani ya dola 50000, saa ni dola 45000 na viatu vya Yezzy ambavyo bei yakeni dola $4,000.

