Picha,Tyga kavuta baby mkali zaidi ya Kylie,ni model kutoka Uingereza.
Mwanamitindo Demi Rose Mawby amekuwa miongoni mwa mastaa wanaoongelewa zaidi mitan...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/pichatyga-kavuta-baby-mkali-zaidi-ya.html

Demi Rose ana miaka 21 na mashabiki wa
Tyga wanasema huyu baby wa sasa ni mkali zaidi kuliko hata Ex wake Kylie
Jenner. Demi Rose ni mwanamitindo wa nguo za ndani kama unavyoona
kwenye hizo picha.
Hizi ni picha za mtoto huyu.







