Rapa mkali Joe Budden aikosoa album ya Drake.
Rapa wa kundi la Slaughterhouse Joe Budden ameikosoa album ya Drake na kumsifia pr...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/rapa-mkali-joe-budden-aikosoa-album-ya.html

“Kazi nzuri sana Noah “40” Shebib kwenye hii album ila Drake naye mjua sio nayemsikia hapa, Drake hajabadilika wala kuendelea kwenye hii album,hajanigusa,namtaka Drake anayeongelea kitu na sio kitu tu alichoongelea Drake, ila Noah ametisha“.
Joe Budden ni miongoni mwa rapa wakali nchini Marekani.