RicardoMomo asema Raymond na Harmonize ni waandishi wazuri wa nyimbo.
Meneja wa Raymond ambaye ni msanii wa WCB ameweka wazi kuwa hakuna mwandishi rasmi...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/ricardomomo-asema-raymond-na-harmonize.html

Ricardo anasema “Mimi siangali msanii kama anaimba sana, naangalia kama anajua kuimba kwanza, msanii bila kuandika ni kazi bure, ndio maana tuliwachukua mwaka jana sababu wanajua kuandika na kuimba”.
Ricardo pia amesema Harmonize anaweza kuwa na nyimbo na wasanii wote wakachangia chochote, lazima binadamu tuwe wasikivu na kukubali kusikiliza ushauri.