Ukame: Burkina Faso kutoa maji kwa mgao

Ukosefu wa maji ulishuhidiwa mwisho mwaka 2013 hata hivyo hali imekuwa mbaya kwa sababu ya kiangazi. Burkina Fao ...

Ukosefu wa maji ulishuhidiwa mwisho mwaka 2013 hata hivyo hali imekuwa mbaya kwa sababu ya kiangazi.


Burkina Fao itaanza ugavi wa maji katika mji mkuu Ouagadougou, kutokana na ukosefu mkubwa wa maji.
Waziri mmoja alisema kuwa serikali imeamua kufunga maji kwenda wilaya tofauti za mji baada ya kila saa 12.
Wiki chache zilizopita baadhi ya maeneo ya Ouagadougou yamebaki bila maji kwa siku kadhaa.

Image copyright AFP
Image caption Burkina Faso kutoa maji kwa mgao
Ukosefu wa maji ulishuhidiwa mwisho mwaka 2013 hata hivyo hali imekuwa mbaya kwa sababu ya kiangazi.
Hatua hizo mpya zitaanza kutekelezwa siku ya Jumanne juma lijalo

Related

HABARI 2293979300148682822

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item