Waliofutwa wakataa kung'atuka madarakani G Bissau

Waziri mkuu mpya wa Guinea Bissau Mawaziri kadhaa waliofutwa kazi nchini Guinea Bissau wiki mbili zilizopita wamekataa kung'atuka ...

Waziri mkuu mpya wa Guinea Bissau
Mawaziri kadhaa waliofutwa kazi nchini Guinea Bissau wiki mbili zilizopita wamekataa kung'atuka mamlakani.
Waziri mkuu mpya, Baciro Dja, aliapishwa hapo jana, japo baraza la mawaziri la sasa limekataa kumtambua.
Wanasema angefaa kuteuliwa na chama tawala cha ( PAIGC) na sio rais Jose Mario Vaz.
Uteuzi huo ulisababisha maandamano makubwa siku ya Alhamis.
Tangu mwaka 1974, hakuna kiongozi yeyote wa kuchaguliwa wa taifa hilo, ambaye ametumikia muhula wake kamili.

Related

MATUKIO 5501093929115332782

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item