WizKid athibitishwa kuwa muhusika katika kutengeneza wimbo wa Drake ‘One Dance’.
Rapa Drake amethibitisha kuwa msanii kutoka Afrika ‘WizKid’ amehusika kutayarisha...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/wizkid-athibitishwa-kuwa-muhusika.html

Rapa Drake amethibitisha kuwa msanii kutoka Afrika ‘WizKid’
amehusika kutayarisha wimbo wa ‘One Dance’ kwenye album yake ya Views
From The 6, Drake alipost picha ya WizKid na kuandika VIEWS instagram
huku kava la album
Album ya Views From the 6, inawasanii kama Rihanna, Future, Kanye West,