Wizkid atisha kwenye chati za Billboard kupitia shavu la Drake.
Msanii kutoka Nigeria Wizkid ameiweka Afrika kwenye level kubwa sana kimuziki baad...

http://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/wizkid-atisha-kwenye-chati-za-billboard.html

Wimbo wa ‘One Dance’ upo kwenye album ya Views ambayo pia ni namba moja kwenye chati ya album bora ya Billboard 200 chart.
BILLBOARD HOT 100 TOP 10
- Drake feat. Kyla & WizKid – “One Dance”
- Desiigner – “Panda”
- Lukas Graham – “7 Years”
- Mike Posner – “I Took a Pill in Ibiza”
- Fifth Harmony feat. Ty Dolla $ign – “Work from Home”
- Rihanna feat. Drake – “Work”
- The Chainsmokers feat. Daya – “Don’t Let Me Down”
- Zayn – “Pillowtalk”
- Calvin Harris feat. Rihanna – “This is What You Came For”
- Justin Bieber – “Love Yourself”