Alvaro Morata kurejea Real Madrid

Klabu ya ​Real Madrid imetangaza kumrudisha mshambuliaji wao wa zamani Alvaro Morata atajiunga nao msimu huu utakaoanza mwezi Agosti wali...

Klabu ya ​Real Madrid imetangaza kumrudisha mshambuliaji wao wa zamani Alvaro Morata atajiunga nao msimu huu utakaoanza mwezi Agosti walitoa habari hiyo kupitia tovuti yao.
356976A400000578-0-image-a-2_1466528321310
Morata ambaye ni mchezaji wa Juventus ya Italia alikuwa akiwindwa na Chelsea pamoja na Arsenal huku Juventus ambayo alijiunganayo mwaka 2014 kwa paundi 20 milioni ikiwa inamhitaji abakie.
Morata hadi saivi amesha funga mara mbili katika michuano ya Euro 2016 inayoendelea nchini Ufaransa.
Mkurugenzi mtendaji wa Juventus Giuseppe Marotta mapema wiki hii alinukuliwa akisema wanatarajia kupokea ofa toka Madrid siku chache zijazajo.
“Tunategemea kupokea ofa kwa maandishi siku zijazo kwa mchezaji wetu na kuna asilimia chache sana za kuendelea kubaki nasi msimu ujao” alisema Morotta.
Madrid walimuuza Morata kwa Juventus huku wakiweka kipengele cha kupewa kipaumbele kama watahitaji kumnunua tena.

Related

MICHEZO 1437599323640559037

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item