ICC kuzishitaki Uganda na Djibouti

Image copyright REUTERS Image caption Bw Bashir alihudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ...

BashirImage copyrightREUTERS
Image captionBw Bashir alihudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC imesema itazishitaki serikali za Uganda na Djibouti kwa baraza la usalama la umoja wa mataifa kwa kushindwa kumtia nguvuni Rais wa Sudan Omar al Bashir alipozuru katika nchi zao.
Bashir anatuhumiwa kwa mauaji ya kimbari,uhalifu dhidi ya binaadam pamoja na kusababisha vita katika jimbo la Darfur.
Amekuwa akikana mashikata hayo.
Bashir alisafiri kwenda Uganda na Djibouti mwaka huu.
ICC inasema kuwa nchi hizo mbili zilipaswa kumtia nguvuni Bashir kwakuwa zilisaini mkataba na makahama hiyo.

Related

HABARI 2390580641671178073

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item