Maneno ya Edward Lowassa baada ya kusikia waliomuunga mkono wanaendelea kufukuzwa CCM
Edward Lowassa ameyasema yafuatayo >>> ‘ Kuna mambo yanayotokea kule CCM nadhani wameumia kidogo na sasa wana...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/03/maneno-ya-edward-lowassa-baada-ya.html
‘Nasikia
kuna mipango mikubwa zaidi Rais Magufuli akikabidhiwa chama mwezi wa
sita, kuna mipango mikubwa zaidi ya kuwaondoa kwenye chama…. sasa mimi
nawaambia kwamba kuna maisha nje ya CCM, waje CHADEMA kuna maisha mazuri
tu hapa…. wasibaki huko wananyanyaswa, waje tushirikiane hapa yanini
kulialia?‘ – Edward Lowassa
CHANZO,MILLADI AYO


