Kuna Mvua kubwa inashuka, taarifa imetolewa na mamlaka ya hali ya hewa Tanzania

April 26 2016 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa taarifa  kwa umma ya kuwepo kw...

April 26 2016 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa taarifa  kwa umma ya kuwepo kwa mvua kubwa na upepo mkali, taarifa hiyo ya mamlaka ya hali ya hewa imetaja maeneo yatakayoathirika kuwa ni pamoja na Tanga, Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba ambapo mvua hizo zinatarajiwa kusambaa katika maeneo ya mikoa ya Kilimanjaro na mashariki mwa Manyara.

Related

MATUKIO 6896252201302914148

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item