Master j asema maproducer wa muziki Bongo wana hali mbaya sana.

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Tanzania, Master J amesema watayarishaji wa muziki wa Bongo wana hali mbaya sana kwa sasa. Master ...

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Tanzania, Master J amesema watayarishaji wa muziki wa Bongo wana hali mbaya sana kwa sasa.

Master J amejiwekea heshima kubwa kwenye;muziki wa Bongo Fleva, pia amefanikiwa kuwatambulisha wakongwe kibao wa muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop ambao wamejiwekea heshima kubwa kwa sasa nchini.

Akiongea kwenye kipindi cha FNL, kinachoruka kupitia EATV, Master J alisema ‘watayarishaji wa muziki Bongo wanahalimbaya sana’.

“Unajua maproducer wanahali mbaya sana sasa, madirector ndiyo wanamiliki magari na majumba. Kama inawezekana wasanii waende kufanya show mikoani na video zao halafu waone itakuwaje,” aliongezea.

Related

BURUDANI 3812664842293195824

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item