Msumbiji mashakani kwa kuficha madeni yake

Mkurugenzi mkuu wa IMF Christine Lagarde Shirika la fedha duniani IMF, limesitisha ufadhili wake kwa serikali ya Mozam...

Mkurugenzi mkuu wa IMF Christine Lagarde
Shirika la fedha duniani IMF, limesitisha ufadhili wake kwa serikali ya Mozambique, baada ya kugundua kuwa serikali ya nchi hiyo ilikosa kutangaza kuwa ilikuwa na madeni ya zaidi ya dola bilioni moja.
Afisa mmoja wa shirika hilo la IMF amesema wafadhili wengine huenda nao wakasitisha ufadhili wao kwa Mozambique.
Hatua hiyo sasa itashinikiza serikali ya Mozambique ambayo hutegemea misaada ya kigeni kufadhili robo moja ya bajeti yake.
Taifa hilo linakumbwa na matatizo ya kiuchumi, yaliosababishwa na kupungua kwa hazina yake ya fedha za kigeni na kushuka kwa dhamana ya sarafu ya nchi hiyo.

Related

HABARI 5611760090592585084

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item