Ubelgiji yampeleka Ufaransa mshukiwa wa Paris Abdeslam

Abdeslam akikamatwa na maafisa wa polisi wakati wa operesheni kali iliofanyika mjini Brussels Abdeslam akikamatwa na maa...

Abdeslam akikamatwa na maafisa wa polisi wakati wa operesheni kali iliofanyika mjini Brussels
Abdeslam akikamatwa na maafisa wa polisi wakati wa operesheni kali iliofanyika mjini Brussels
Ubelgiji imempeleka mshukiwa wa shambulio la Paris Salah Abdesalam nchini Ufaransa.
Alijeruhiwa na kukamatwa katika operesheni iliofanywa na maafisa wa polisi mjini Brussels baada ya kutoroka kwa miezi minne.

Raia huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 26 alizaliwa mjini Brussels na aliishi mjini humo kabla ya shambulio la Paris.

Takriban watu 130 waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mashambulizi ya kupangwa yaliotekelezwa na kundi la Islamic State mjini Paris mnamo tarehe 13 mwezi Novemba.

Related

MATUKIO 8925104400426948816

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item