Akiri shtaka la wizi wa picha za utupu

Muhalifu wa mtandaoni Mtu aliyeshtakiwa kwa wizi wa picha za utupu wa watu maarufu amekiri mashtaka yanayomkabili. Rya...

Muhalifu wa mtandaoni
Mtu aliyeshtakiwa kwa wizi wa picha za utupu wa watu maarufu amekiri mashtaka yanayomkabili.
Ryan Collins mwenye umri wa miaka 36 na baba kutoka eneo la Pennsylvania ,amekiri kuiba picha hizo miaka miwli iliopita.
Alitumia mbinu ya kuhadaa na kupata nywila za watu hao kabla ya kuingia katika akaunti zao za icloud na Gmail.
Hakuna ushahidi kwamba alichapisha picha hizo katika mtandao,lakini viongozi wa mashtaka wanataka ahudumie kifungo cha miezi 18 jela.
Wizi huo wa picha mnamo mwezi septemba mwaka 2014 ulizilenga akaunti 50 za Apple na akaunti 72 za Gmail kulingana na gazeti la Los Angels Times.
Jennifer Lawrence, Kaley Cuoco na Kirsten Dunst ni miongoni mwa watu maarufu waliolengwa

Related

MAAJABU 3911751392407188086

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item