Chris Brown ashinda kesi ya kumlea mwanae dhidi ya mzazi mwenzake

Drama za mastaa wa Marekani kugombea watoto na wapenzi wao wanapoachana bado zinaendelea na sasa ni zamu ya Chris Brown na mzazi mwenzake ...

Drama za mastaa wa Marekani kugombea watoto na wapenzi wao wanapoachana bado zinaendelea na sasa ni zamu ya Chris Brown na mzazi mwenzake Nia.
The-Source_Chris-Brown-x-Nia-Guzman
Jumanne hii jaji wa mahaka ya Los Angeles alimpa ruhusa Chris Brown kuendelea kukaa na mwanae, Royaty baada ya malalamiko aliyoyapeleka mzazi mwenzake, Nia Guzman kuonekana hayana mashiko.
Jaji huyo amempa ruhusa Chris Brown kuendelea kumlea na kukaa na mwanae siku 12 kwa mwezi kama alivyopangiwa hapo awali. Hata hivyo Nia anadai apatiwe kiasi cha $16000 kwa mwezi kwa ajili ya matumizi ya mtoto badala ya $2500 anayopatiwa sasa hivi na Chris Brown.

Related

BURUDANI 5727281339107695599

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item