Dili la dola milioni 400 la Soulja Boy limekamilika,ni balozi wa hii kampuni..

Lile dili tulilosikia mwezi mmoja uliopita la rapa Soulja Boy limekamilika, Msema...

Lile dili tulilosikia mwezi mmoja uliopita la rapa Soulja Boy limekamilika, Msemaji wa Amidst skepticism, World Poker Fund Holdings amethibitisha kuwa dili hili limekamilika na lina thamani ya dola milioni $400 million.
Billboard imeripoti kuwa Soulja Boy ametia saini kwenye mkataba huu na atakuwa balozi wa kampuni hii ambayo imesema ndio msanii mwenye mvuto zaidi mitaani.
Soulja Boy kwa sasa ni brand ambassador wa World Poker Fund, kampuni inayohusika na mambo beting.
Ukiacha dili hilo, pia SB amesaini mkataba na kampuni ya filamu ya FilmOn,iliyomfahamu SB baada ya Beyoncé kusample wimbo wake wa mwaka 2008 “Turn My Swag On”  na kuutumia kwenye wimbo wake wa “Hold Up” kwenye album ya LEMONADE.
 poker

Related

BURUDANI 4351215872136821959

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item