Je unamjua Yule mtoto mkali aliyeigiza kama hacker kapewa shavu tena.,Fast 8 inakuja
Yule mtoto mkali aliyeigiza kama Hacker kwenye Fast 7 amepewa tena shavu kuigiza k...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/je-unamjua-yule-mtoto-mkali-aliyeigiza.html
“Ramsey’s back! Love this girl…”
Emmanuel anaonekana kwenye Game of Thrones kama Missandei, alionekana mara ya kwanza kwneye Furious 7 kama hacker Ramsey.
Utayarishaji wa Fast 8 unaelekea kuanza nchini Cuba, kabla ya kwenda kumaliziwa nchini Marekani mjini New York. Fast 8 inatoka April 14, 2017.


