Je wajua Kwanini Jay Z hakwenda na Beyonce kwenye Met Gala,sababu iko hapa…

Beyoncé alishangaza wengi jumatatu hii baada ya kutokea kwenye usiku wa Met Gala ...

Beyoncé alishangaza wengi jumatatu hii baada ya kutokea kwenye usiku wa Met Gala bila mume wake Jay Z. Ikiwa bado zile tetesi za usaliti zinakiki sana baad aya album ya Lemonade, kutoka basi ilisemekana labda hio ndio sababu.
Mtu wa karibu na Beyoncé na Jay Z amesema wawili hawa wako powa kabisa na hakuna tatizo lolote kati yao, kuhusu Jay Z kutoonekana kwenye Met Gala, alifunguka kuwa sio kawaida ya Jay Z kuonekana kwenye sehemu kama hizo.
Alisema “Wasanii wanaoenda huko wanakitu tayari sokoni cha kusukuma sio kwenda tu,Jay Z hana kazi mpya kwa sasa ,aende kufanya nini, ndio maana unaona kila aliyekuwepo ana album au movie mpya kwa sasa

Related

BURUDANI 9185222389327036189

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item