Kijana aliyeugua ugonjwa wa kuzeeka aaga duni

Nihal Kijana mmoja wa mjini Mumbai ambaye amekuwa akiugua ugonjwa usio kawaida wa jeni ambao huufanya mwili kuzeeka mara nane zaidi ...

Nihal
Kijana mmoja wa mjini Mumbai ambaye amekuwa akiugua ugonjwa usio kawaida wa jeni ambao huufanya mwili kuzeeka mara nane zaidi ya ilivyo kawaida amefariki.
Nihal Bitla mwenye umri wa miaka 15 alikuwa mwanaharakati wa India anayefanya kampeni dhidi ya ugonjwa huo kwa jina Progeria.
Bitla aligonga vichwa vya habari alipokuwa akitafuta wagonjwa wengine 60 wanaougua ugonjwa huo ili kushiriki katika yake mjini Boston.Alianzisha mtandao wa kijamii kutoa hamasa kuhusu ugonjwa huo.
Hivi karibuni alianzisha hamasa kwa jina #HatsOnProgeria,ambapo alionekana na kundi moja la wafuasi wake katika kituo cha reli cha Chhatrapati Shivaji.
Bitla alipata umaarufu baada ya kukutana na nyota wa Bollywood Aamir Khan mnamo mwezi Disemba baada ya ukurasa wake wa facebook kuzungumzia kuhusu habari yake na swala kwamba alikuwa shabiki mkubwa wa nyota huyo.
Alifariki hospitalini siku ya Jumanne kusini mwa jimbo la Telangana,ambapo alikuwa ameenda kuhudhuria sherehe za harusi.
Ripoti za vyombo habari zinasema kuwa huenda alikosa maji mwilini kutokana na joto katika eneo hilo.

Related

HABARI 5291817381654931906

Post a Comment

emo-but-icon

MMILIKI WA BLOG HII

MMILIKI WA BLOG HII

KILIMANJARO MOUNTAIN IN TANZANIA

http://www.tanzaniaparks.go.tz/

welcome in Tanzania at Arusha Mount meru

https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=7138641291977024838#editor/target=post;postID=3203923396230239409

https://web.facebook.com/kephasilani?fref=ts

Recent

Comments

item