Kwa mara ya kwanza mwaka huu Birdman katoa kauli kuhusu album mpya ya Lil Wayne.
Boss wa Cash Money Birdman amefunguka kuhusu kumbani Lil Wayne kutoa album yake mp...
https://clemencekarani.blogspot.com/2016/05/kwa-mara-ya-kwanza-mwaka-huu-birdman.html
Ni mwaka na miezi kadha sasa toka Lil Wayne aseme kuwa Birdman anamshikilia kwenye mkataba wa Cash Money huku akizuia album yake kutoka


